19 Basi Ahimaasi, mwana wa Sadoki, akasema, Niende mbio sasa, nikampelekee mfalme habari, jinsi BWANA alivyomlipiza kisasi juu ya adui zake.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 18
Mtazamo 2 Sam. 18:19 katika mazingira