20 Yoabu akamwambia, Wewe hutakuwa mchukua habari leo, siku nyingine utachukua habari; lakini leo hutachukua habari, kwa sababu mwana wa mfalme amekufa.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 18
Mtazamo 2 Sam. 18:20 katika mazingira