21 Ndipo Yoabu akamwambia Mkushi mmoja, Nenda ukamwambie mfalme hayo uliyoyaona. Na huyo Mkushi akajiinamisha mbele ya Yoabu, akaenda zake mbio.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 18
Mtazamo 2 Sam. 18:21 katika mazingira