2 Sam. 18:23 SUV

23 Akasema, Haidhuru, nitapiga mbio. Akamwambia, Haya, piga mbio. Ndipo Ahimaasi akapiga mbio, akishika njia ya uwandani, akampita yule Mkushi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 18

Mtazamo 2 Sam. 18:23 katika mazingira