25 Mlinzi akalia, akamwambia mfalme. Naye mfalme akasema, Kama yu peke yake, ana habari kinywani mwake. Akaja mbio, akakaribia.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 18
Mtazamo 2 Sam. 18:25 katika mazingira