2 Sam. 18:31 SUV

31 Na tazama, yule Mkushi akafika; Mkushi akasema, Nina habari kwa bwana wangu mfalme; kwa maana BWANA amekulipizia kisasi leo juu ya hao wote walioinuka kupigana nawe.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 18

Mtazamo 2 Sam. 18:31 katika mazingira