2 Sam. 18:33 SUV

33 Naye mfalme akataabika sana, akapanda juu, akaingia kile chumba kilichokuwa juu ya lango, akalia; na katika kwenda kwake alisema hivi, Mwanangu Absalomu! Ee mwanangu! Mwanangu Absalomu! Laiti ningalikufa badala yako, Absalomu, mwanangu, mwanangu!

Kusoma sura kamili 2 Sam. 18

Mtazamo 2 Sam. 18:33 katika mazingira