4 Mfalme akawaambia, Yaliyo mema machoni penu ndiyo nitakayofanya. Basi mfalme akasimama kando ya lango, na hao watu wakatoka kwa elfu zao na mia zao.
Kusoma sura kamili 2 Sam. 18
Mtazamo 2 Sam. 18:4 katika mazingira