2 Sam. 19:12 SUV

12 Ninyi ni ndugu zangu, ninyi ni mfupa wangu na nyama yangu; mbona basi ninyi mmekuwa wa mwisho wa kumrudisha tena mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:12 katika mazingira