2 Sam. 19:13 SUV

13 Kisha mkamwambie Amasa, Je! Si wewe uliye mfupa wangu, na nyama yangu? Mungu anifanyie hivyo, na kuzidi, usipokuwa wewe jemadari wa jeshi mbele yangu daima mahali pa Yoabu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:13 katika mazingira