2 Sam. 19:14 SUV

14 Akawainamisha mioyo watu wote wa Yuda, kama mtu mmoja; basi wakatuma kwa mfalme, Rudi wewe na watumishi wako wote.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:14 katika mazingira