2 Sam. 19:15 SUV

15 Hivyo mfalme akarudi, akafika Yordani. Kisha Yuda wakaja Gilgali kwenda kumlaki mfalme, na kumvusha mfalme Yordani.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:15 katika mazingira