2 Sam. 19:19 SUV

19 Akamwambia mfalme, Bwana wangu asinihesabie uovu, wala usiyakumbuke yale niliyoyatenda mimi mtumwa wako kwa upotoe siku ile alipotoka Yerusalemu bwana wangu mfalme, hata mfalme ayatie moyoni mwake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:19 katika mazingira