2 Sam. 19:9 SUV

9 Wakashindana watu wote katika kabila zote za Israeli, wakisema, Mfalme alitutoa mikononi mwa adui zetu, akatuokoa mikononi mwa Wafilisti; naye sasa amekimbia kutoka nchi hii mbele ya Absalomu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:9 katika mazingira