2 Sam. 19:8 SUV

8 Ndipo mfalme akaondoka, akaketi langoni. Nao wote wakaambiwa ya kwamba, Angalieni, mfalme ameketi langoni; watu wote wakaenda huko mbele ya mfalme.Basi, Israeli wote walikuwa wamekimbia kila mtu hemani kwake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 19

Mtazamo 2 Sam. 19:8 katika mazingira