2 Sam. 2:21 SUV

21 Basi Abneri akamwambia, Geuka mkono wa kuume au mkono wa kushoto, ukamshike mmoja wa vijana, ukazitwae silaha zake. Lakini Asaheli hakukubali kugeuka na kuacha kumfuata.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:21 katika mazingira