2 Sam. 2:26 SUV

26 Ndipo huyo Abneri akamwita Yoabu, akasema, Je! Upanga uwale watu sikuzote? Je! Hujui ya kwamba utakuwa uchungu mwisho wake? Basi itakuwa hata lini usijewaamuru watu warudi na kuacha kuwafuatia ndugu zao?

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:26 katika mazingira