2 Sam. 2:25 SUV

25 Nao wana wa Benyamini wakakusanyika pamoja nyuma ya Abneri, wakawa kikosi kimoja, wakasimama juu ya mlima.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:25 katika mazingira