2 Sam. 2:24 SUV

24 Ila Yoabu na Abishai wakamfuatia Abneri; na jua likachwa hapo walipoufikilia mlima wa Ama, uelekeao Gia, katika njia ya nyika ya Gibeoni.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 2

Mtazamo 2 Sam. 2:24 katika mazingira