2 Sam. 20:10 SUV

10 Wala Amasa hakuangalia huo upanga uliomo mkononi mwa Yoabu; basi akampiga nao wa tumbo, akamwaga matumbo yake chini, asimpige mara ya pili; naye akafa. Kisha Yoabu na Abishai, nduguye, wakamfuata Sheba, mwana wa Bikri.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 20

Mtazamo 2 Sam. 20:10 katika mazingira