2 Sam. 20:9 SUV

9 Naye Yoabu akamwambia Amasa, Amani kwako, ndugu yangu. Kisha Yoabu akamshika Amasa ndevu kwa mkono wake wa kuume ili ambusu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 20

Mtazamo 2 Sam. 20:9 katika mazingira