2 Sam. 20:14 SUV

14 Naye akapita kati ya kabila zote za Israeli mpaka Abeli, na kwa Bethmaaka na Wabikri wote; nao wakakusanyika, wakaenda pia kumwandama.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 20

Mtazamo 2 Sam. 20:14 katika mazingira