2 Sam. 20:15 SUV

15 Na hao wakaja wakamhusuru katika Abeli wa Bethmaaka, wakafanya chuguu mbele ya mji, nayo ikasimama kuielekea ngome; na watu wote waliokuwa pamoja na Yoabu wakavunja-vunja ukuta, wapate kuubomoa.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 20

Mtazamo 2 Sam. 20:15 katika mazingira