2 Sam. 21:1 SUV

1 Kulikuwa na njaa siku za Daudi muda wa miaka mitatu, mwaka kwa mwaka; naye Daudi akautafuta uso wa BWANA. BWANA akasema, Ni kwa ajili ya Sauli, na kwa nyumba yake yenye damu, kwa kuwa aliwaua hao Wagibeoni.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:1 katika mazingira