2 Sam. 21:2 SUV

2 Ndipo mfalme akawaita Wagibeoni akawaambia; (basi Wagibeoni si wa wana wa Israeli, ila ni wa masalio ya Waamori; na wana wa Israeli walikuwa wamewaapia; lakini Sauli akatafuta kuwaua katika juhudi yake kwa ajili ya wana wa Israeli na Yuda;)

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:2 katika mazingira