2 Sam. 21:10 SUV

10 Naye Rispa, binti Aya, akatwaa nguo ya magunia akajitandikia mwambani, tangu mwanzo wa mavuno hata waliponyeshewa mvua toka mbinguni; wala hakuacha ndege wa angani kukaa juu yao mchana, wala wanyama wa mwitu usiku.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:10 katika mazingira