2 Sam. 21:9 SUV

9 akawatia mikononi mwa Wagibeoni, nao wakawatundika mlimani mbele za BWANA, nao wakaangamia wote saba pamoja; wakauawa siku za mavuno, za kwanza, mwanzo wa mavuno ya shayiri.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:9 katika mazingira