2 Sam. 21:8 SUV

8 Ila mfalme akawatwaa hao wana wawili wa Rispa, binti Aya, aliomzalia Sauli, Armoni na Mefiboshethi; na wana watano wa Merabu binti Sauli, aliomzalia Adrieli, mwana wa Barzilai, Mmeholathi;

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:8 katika mazingira