2 Sam. 21:7 SUV

7 Lakini mfalme akamwachilia Mefiboshethi, mwana wa Yonathani, mwana wa Sauli, kwa ajili ya kiapo cha BWANA kilichokuwa kati yao, yaani, kati ya Daudi na Yonathani, mwana wa Sauli.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:7 katika mazingira