2 Sam. 21:14 SUV

14 Kisha wakaizika mifupa ya Sauli na ya Yonathani mwanawe katika nchi ya Benyamini, huko Zela, kaburini mwa Kishi babaye; wakafanya yote aliyoyaamuru mfalme. Na baadaye Mungu aliiridhia hiyo nchi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:14 katika mazingira