2 Sam. 21:15 SUV

15 Basi kulikuwa na vita tena kati ya Wafilisti na Israeli; Daudi akashuka mpaka Gobu, na watumishi wake pamoja naye, akapigana na Wafilisti; naye Daudi akaishiwa na nguvu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:15 katika mazingira