2 Sam. 21:19 SUV

19 Kulikuwa na vita tena na Wafilisti huko Gobu; na Elhanani, mwana wa Yairi, Mbethlehemi, alimwua Goliathi, Mgiti, ambaye mti wa mkuki wake ulikuwa kama mti wa mfumaji.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:19 katika mazingira