2 Sam. 21:4 SUV

4 Na hao Wagibeoni wakamwambia, Si jambo la fedha wala dhahabu lililo kati ya sisi na Sauli, au nyumba yake; wala si juu yetu kumwua mtu ye yote katika Israeli. Akasema Mtakayoyanena, ndiyo nitakayowatendea ninyi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 21

Mtazamo 2 Sam. 21:4 katika mazingira