2 Sam. 23:10 SUV

10 huyo aliinuka, akawapiga Wafilisti hata mkono wake ukachoka, na mkono wake ukaambatana na upanga; naye BWANA akafanya wokovu mkuu siku ile; nao watu wakarudi nyuma yake ili kuteka nyara tu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 23

Mtazamo 2 Sam. 23:10 katika mazingira