2 Sam. 23:9 SUV

9 Na baada yake kulikuwa na Eleazari, mwana wa Dodai, Mwahohi, mmojawapo wa wale mashujaa watatu waliokuwa pamoja na Daudi; walipowatukana Wafilisti waliokuwa wamekusanyika huko ili kupigana, na watu wa Israeli walikuwa wamekwenda zao;

Kusoma sura kamili 2 Sam. 23

Mtazamo 2 Sam. 23:9 katika mazingira