20 Tena Benaya, mwana wa Yehoyada, mtu hodari wa Kabseeli aliyekuwa amefanya mambo makuu; aliwaua simba wakali wawili wa Moabu, pia akashuka akamwua simba katikati ya shimo wakati wa theluji;
Kusoma sura kamili 2 Sam. 23
Mtazamo 2 Sam. 23:20 katika mazingira