2 Sam. 23:19 SUV

19 Je! Huyo hakuwa na heshima maalumu miongoni mwa wale watatu? Kwa hiyo akawekwa kuwa akida wao; ila hakudiriki kuwamo katika wale watatu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 23

Mtazamo 2 Sam. 23:19 katika mazingira