2 Sam. 24:18 SUV

18 Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi, akamwambia, Haya! Kwea wewe, ukamwinulie BWANA madhabahu penye kiwanja cha Arauna, Myebusi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 24

Mtazamo 2 Sam. 24:18 katika mazingira