2 Sam. 3:13 SUV

13 Daudi akasema, Vema, nitafanya agano nawe, lakini nina sharti moja nitakalo kwako, nalo ni hili; Hutaniona uso wangu, isipokuwa uniletee Mikali, binti Sauli, hapo ujapo kuniona uso wangu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:13 katika mazingira