2 Sam. 3:18 SUV

18 basi, sasa, fanyeni hayo; kwa maana BWANA amemtaja Daudi, akisema, kwa mkono wa mtumishi wangu, Daudi, nitawaokoa watu wangu Israeli katika mikono ya Wafilisti, na katika mikono ya adui zao wote.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:18 katika mazingira