2 Sam. 3:19 SUV

19 Tena Abneri alinena masikioni mwa Benyamini; kisha Abneri akaenda ili kunena masikioni mwa Daudi huko Hebroni maneno yote yaliyoonekana kuwa mema machoni pa Israeli, na machoni pa nyumba yote ya Benyamini.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:19 katika mazingira