2 Sam. 3:20 SUV

20 Basi Abneri akamwendea Daudi huko Hebroni, na watu ishirini pamoja naye. Daudi akamfanyia karamu Abneri, na watu wote waliokuwa pamoja naye.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:20 katika mazingira