2 Sam. 3:21 SUV

21 Kisha Abneri akamwambia Daudi, Nitaondoka, niende zangu; nami nitamkusanyia bwana wangu mfalme Israeli wote, ili wafanye agano nawe, ukamiliki juu ya wote inaowatamani roho yako. Basi Daudi akamruhusu Abneri; naye akaenda zake kwa amani.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:21 katika mazingira