2 Sam. 3:25 SUV

25 Wewe wamjua Abneri, mwana wa Neri, ya kuwa alikuja ili kukudanganya, apate kujua kutoka kwako, na kuingia kwako, akajue yote uyatendayo.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:25 katika mazingira