2 Sam. 3:26 SUV

26 Naye Yoabu alipotoka kwa Daudi, akapeleka wajumbe kumfuata Abneri, wakamrudisha kutoka kisima cha Sira; lakini Daudi alikuwa hana habari.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:26 katika mazingira