2 Sam. 3:27 SUV

27 Basi Abneri alipokuwa amerudi Hebroni, Yoabu akamchukua kando hata katikati ya lango, ili aseme naye kwa faragha; akampiga mkuki wa tumbo huko, hata akafa; kwa ajili ya damu ya Asaheli, ndugu yake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:27 katika mazingira