2 Sam. 3:28 SUV

28 Hata baadaye Daudi aliposikia, akasema, Mimi na ufalme wangu hatuna hatia milele mbele za BWANA, kwa sababu ya damu ya Abneri, mwana wa Neri;

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:28 katika mazingira