2 Sam. 3:29 SUV

29 na imwangukie Yoabu kichwani pake, na nyumba yote ya babaye, tena hiyo nyumba ya Yoabu isikose kuwa na mtu mwenye kutoka damu, au aliye na ukoma, au mwenye kutegemea fimbo, au mwenye kuanguka kwa upanga au mwenye kuhitaji chakula.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:29 katika mazingira