2 Sam. 3:39 SUV

39 Nami leo nimedhoofika, hata nijapotiwa mafuta niwe mfalme; na watu hao, wana wa Seruya, ni wagumu kwangu mimi; BWANA amlipie mwovu sawasawa na uovu wake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:39 katika mazingira