2 Sam. 4:1 SUV

1 Hata Ishboshethi mwana wa Sauli aliposikia ya kuwa Abneri amekufa huko Hebroni, mikono yake ilikuwa dhaifu, na Waisraeli wote wakataabika.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 4

Mtazamo 2 Sam. 4:1 katika mazingira